Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
32
Reaction score
39
umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je?
njoo haraka uone watu wanavopiga kelel wakipita hapa one way barabara ya 8. hii si sawa.
safety precautions is to put barriers first fllor to prevent debris from injuring people. by laws mkague hii au ndio hivyo tena
 
Attachments

  • 20250720_110331.jpg
    20250720_110331.jpg
    266.9 KB · Views: 17
muone alivokuwa hana adabu
 
Attachments

  • 20250720_110707.mp4
    12 MB
Makao makuu yanayo ongoza kwa kunuka afrika mashariki . Pita pale uwanja WA jamhuri HUKU PEMBENI karibu na uwanja WA shule WA mpira ujionee HALI halisi ya mji mkuu. Achan na vi klipu VYA mtandaoni
 
Huyo usishangae ukamwambia akakutukana na kukushambulia SIJUI hua wanajiamimi nin
 
mim nilikua nawazaga keann kule mtumba kusipigwe maa apartment ukiacha ule mji pemben tu . mjin pale wabak wauza vitambaa mana ukizunguka sabasaba umemaliza
 
mim nilikua nawazaga keann kule mtumba kusipigwe maa apartment ukiacha ule mji pemben tu . mjin pale wabak wauza vitambaa mana ukizunguka sabasaba umemaliza
Kaka juzi TU hapa nmetoka kuzungumzia hili JAMBO ukitoka HAPO MTUMBA KWENDA udom BADO MAeneO YAPO mengi yawaiwe wapewe WATU binafsi washushe magorofa ya hatari tukichelewa wazee WA uswahilini watapawahi tutakua tumefanya KAZI Bure tulio yakimbia dar yatatokea na HUKU.
 
Wajukuu wa Maligwanji Hao hawaguswi,, Hilo kiasi linajengwa kistaarabu,,,uliona la barabara ya tisa wewe ?
 
Wajukuu wa Maligwanji Hao hawaguswi,, Hilo kiasi linajengwa kistaarabu,,,uliona la barabara ya tisa wewe ?
doh kumbe unanijua me nani.
lakin mbona kariakoo wanaweka zile kingo za kuzuia vitu visianguke kwa bahat mbaya.why hao wajukuu wasiweke kujali utu. mana uyo dogo wa kigogo hana alijualo ye kapewa deiwaka abandue marine hzo siku iende.ye ndo unakuta analifalula li mbao litayempiga shauri yake
 
Back
Top Bottom