Afisa Mazingira anaweza kufanya majukumu na kazi za Afisa Misitu?

Rahinuda

Member
Oct 17, 2023
12
8
Habari Wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba kuuliza kama Afisa Mazingira anaweza fanya majukumu na.kazi za Afisa Misitu.
 
Habari Wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba kuuliza kama Afisa Mazingira anaweza fanya majukumu na.kazi za Afisa Misitu.
Ndio,inategemeana ba degree umesomea kitu gani
 
Habari Wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba kuuliza kama Afisa Mazingira anaweza fanya majukumu na.kazi za Afisa Misitu.
Sizani, lakini Afisa misitu anafanya kazi za Afisa mazingira vizur kabisa
 
Ndio anaweza kufanya.
Afisa Misitu moja ya jukumu lake Ni kuhifadhi misitu ambayo ni sehemu ya mazingira, na faida yake ni kama kupambana na mabadiliko ya tabianchi, kuhifadhi vyanzo vya maji, mimea na wanyama.
Kwa kazi hiyo ni wazi Afisa Mazingira anaweza kuact nafasi ya Afisa Misitu. Masuala ambayo hawezi pengine ni upande wa uchumi wa misitu, uhandisi misitu na tathmini ya rasilimali misitu.
 
Misitu ni sehemu ya mazingira,so anaweza Fanya hiyo kazi kwani misitu inasimamiwa na Sheria za misitu na Sheria za mazingira.masuala mengine ya utawala na uzoefu utayapata kazini.Na siyo afisa mazingira tu hata afisa kilimo na uvuvi anaweza fanya
 
Back
Top Bottom