Afisa mahusiano wa Lowassa anatupa ujumbe gani?

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Ama kweli, a picture tells a story just as well as a large amount of descriptive text!

Katika pita pita yangu mitaani nimekutana na mabango ya matangazo ambayo ukiyaangalia na kuyachunguza yanatoa ujumbe ambao unalisumbua sana taifa letu katika nyanja ya kimaendeleo.

Kuna wengine wanasema, kuna wakati Mwenyezi Mungu huwapiga vipofu baadhi ya watu ili ujumbe wake uwafikie walengwa.

Ninaweza kusema, kuna uwezekano timu ya mahusiano ya Lowassa ilipigwa upofu ili wananchi wapenda taifa wapate ujumbe!

11954801_1071083686236966_4680767501863847917_n.jpg

Picha ya Mwl. Nyerere inainyoshea kidole picha ya Lowassa!
 
Kwisha Habari yake Lowassa
 
hahaha sijakuelewa mleta mada kwani kuna maana ngapi ya mtu kumnyooshea mwingine kidole?

VIVA UKAWA
 
Soma hayo maneno ya mnyoosha kidole ndio utaelewa kwamba kwenye timu ya kampeni ya lowassa kuna watu wako kwa kazi maalum,ni watu wa system
 
Huna lolotr,ni picha ipi ilianza kuwekwa hapo?Na bado mwaka huu Lowasa atawanyoosha
 
Soma hayo maneno ya mnyoosha kidole ndio utaelewa kwamba kwenye timu ya kampeni ya lowassa kuna watu wako kwa kazi maalum,ni watu wa system

Mbona mlanguzi na mchuuzi alikuwa Kikwete...?? Au mnajiondoa ufahamu..??

ccm ni choo kichafu na kichaka cha mashetwani.... ukiopolewa toka chooni unakuwa safi kuliko waliobaki chooni..!!
 
Kwa akili yako ya kwaida tu ni picha ipi iliyotangulia? Kama isingkuwepo ya Lowassa kidole kingenyooshwa kuelekea wapi?
Yaani huu ni utoto na upuuzi wa hali ya juu sana wa ccm, na hata hawajui watanzania wanahitaji kitu gani.

#KurayangunikwaLowassa , HATA IWEJE!
 
CCM mnazidi kujiweka mahali pabaya ninyi wenyewe...

Ingelikuwa picha ya Kambarage na hayo maneno yameshuka kutoka mbinguni basi watu wangiliamini...

Lakini bango lake limewekwa na wanadamu ambao wana madhumuni yao...
 
Kiukweli Lowasa ni noma sana
Pamoja na mizengwe yote ila anaendelea songa mbele tu
 
La Lowasa lilitangulia baadae mkaja kupandisha hilo jingine

Huo ndiyo ukweli uliopo hapo
 
Back
Top Bottom