Afichwa kama bidhaa za magendo

Afichwa kama bidhaa za magendo

Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi Nye kwa raha. Mwasahau kazi na utu. Na bado
"Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu."

Kila la kheri huko urudiko.
 
Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama MJUSI atoka kuota jua.
Inaonekana hauko timamu akili zako zimeyumba kama dish la Dstv, kwanza kuwa na heshima jina langu siyo la kutaja hovyo kwenye mambo ya hovyo kama haya.
 
Likenya hili,
wenyu,zenyu,kwenyu mods kimbiza hii mbuzi hapa.
 
Back
Top Bottom