AfDB gives Tanzania $1.1 billion for railway, Bagamoyo port

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Benki ya Maendeleo ya Afrika(AFDB) imeipatia Tanzania mkopo wa Dola bilioni 1.1, utakaotolewa kwa awamu kwa kipindi cha miaka mitano kwa ajili kuhudumia miradi ya ujenzi wa miundombinu.

========================

The African Development Bank (AfDB) has approved a loan package worth $1.1 billion to Tanzania to be paid out over five years to fund infrastructure projects and improve public sector governance, it said.

The line of credit will be used primarily to support the transport and energy sectors and improve the business environment in east Africa's second-biggest economy.

The loans would support "transport and energy to promote domestic and regional transport connectivity and improve access to reliable, affordable and sustainable electricity," AfDB said in a statement late on Thursday.

"The second pillar prioritises strengthening of financial management and improving the enabling environment for private sector investment and finance for sustainable job creation."

The government plans to spend $14.2 billion to construct a new standard gauge rail network in the next five years financed with external loans. It also plans to build a new $10 billion port at Bagamoyo, expand existing airports and invest in new roads.

Tanzania, like its neighbour Kenya, wants to profit from its long coastline and upgrade existing rickety railways and roads to serve growing economies in the land-locked heart of Africa.

Tanzania boasts economic growth of 7 per cent a year, yet it is largely driven by state investment and poverty remains stubbornly high.

It also has natural gas reserves that are estimated at more than 57 trillion cubic feet and the central bank believes two percentage points would be added to its annual economic growth simply by starting work on a plant to process that would draw in billions of dollars of investment.

"Board members underscored the need for Tanzanian authorities to ensure that the country’s high GDP growth delivers robust economic transformation, poverty reduction and improved livelihoods," AfDB said.

The East African | Feb 26, 2016
 
Duh, hii mikopo inabidi dhamana iwe hati ya ardhi ya nchi nzima.

Maana sioni dalili za kulipa hii mikopo + lile deni la taifa ambalo ni almost $15 billion.
 
Nusu ya hizo pesa tulizikataa sababu ya Zenj toka USA tulizo kuwa tupewe bure... sasa tunakopa.

Mkuu zile pesa ni kwa ajili ya mipango mingine na hizi ni kwa ajili ya mipango mingine. Jaribu kusoma hiyo ripoti utaon kwamba tunahitaji mkopo wa $14 billion za reli + 10 billion za Bandari ya Bagamoyo (nadhani hizi China ameshatuhakikishia kupitia serikali iliyopita).
 
Good move!...we need more to improve infrastructure...and efficient and affective funds administration is paramount in order to bring a meaningful dent in poverty!
 
Mkuu zile pesa ni kwa ajili ya mipango mingine na hizi ni kwa ajili ya mipango mingine. Jaribu kusoma hiyo ripoti utaon kwamba tunahitaji mkopo wa $14 billion za reli + 10 billion za Bandari ya Bagamoyo (nadhani hizi China ameshatuhakikishia kupitia serikali iliyopita).
Mkuu soma hapa chini kuna kipengele cha energy na zile pesa zilizo kataliwa kisiasa zilikuwa ziende kwenye energy. ..

"The line of credit will be used primarily to support the transport and energy sectors and improve the business environment in east Africa's second-biggest economy."
 
Dah waafrika kujitegemea sijui lini. Kamwe hatuwez kufanya kitu bila msaada wa hela.
 
Sio kila mada kila mtu anaweza kuchangia....hujui unachosema,jifunze kuuliza na sio kuja na hitimisho kwa mambo ya kitaalamu ambayo huyajui.
mkuu mambo gani ya kitaalamu? Acheni hizo bwana. Ni nyerere pekee yake alikuwa na nia njema na sisi. Alijitahid sana kutufanya tujitegemee. Ni bora tubaki tulivyo kuliko kuzidi kukopa na kukopeshwa Ni mzigo mkubwa mnawatwisha tuw walala hoi. DART tumekopa holaa bomba la gesi holaa maden juu ya maden.

Tukaaminishwa iyo mirad itatunufaisha sasa utalaam gani hapo mkuu? Kuwen tu na huruma na walala hoi. Mlala hoi anataka mlo wa uhakika maji ya uhakika na malazi ya uhakika. Anzen na hizo kwanza siyo mnakimbilia kukopa na kutandanza michuma ardhini. HAPANA!! Kuweni na Utu
 
Thibitisha usemi wako kuwa nusu USA ingetoa bure!!!!
Lakini elewa Vya bure a ghari, na KIMSINGI hazingetolewa bure kungekuwa na masharti ya wazi na mengine yasiyo wazi
Kweli mkui sharti la kwanza ni kuhalalisha ndoa ya jinsia moja bure ni ghali
 
Duh, hii mikopo inabidi dhamana iwe hati ya ardhi ya nchi nzima.

Maana sioni dalili za kulipa hii mikopo + lile deni la taifa ambalo ni almost $15 billion.
15 b $ r u kreze it's almost 40b $ na Baddo tunalizidisha
 
The African Development Bank (AfDB) has approved a loan package worth $1.1 billion to Tanzania to be paid out over five years to fund infrastructure projects and improve public sector governance, it said.

The line of credit will be used primarily to support the transport and energy sectors and improve the business environment in east Africa's second-biggest economy.

The loans would support "transport and energy to promote domestic and regional transport connectivity and improve access to reliable, affordable and sustainable electricity," AfDB said in a statement late on Thursday.

"The second pillar prioritises strengthening of financial management and improving the enabling environment for private sector investment and finance for sustainable job creation."

The government plans to spend $14.2 billion to construct a new standard gauge rail network in the next five years financed with external loans. It also plans to build a new $10 billion port at Bagamoyo, expand existing airports and invest in new roads.

Tanzania, like its neighbour Kenya, wants to profit from its long coastline and upgrade existing rickety railways and roads to serve growing economies in the land-locked heart of Africa.

Tanzania boasts economic growth of 7 per cent a year, yet it is largely driven by state investment and poverty remains stubbornly high.

It also has natural gas reserves that are estimated at more than 57 trillion cubic feet and the central bank believes two percentage points would be added to its annual economic growth simply by starting work on a plant to process that would draw in billions of dollars of investment.

"Board members underscored the need for Tanzanian authorities to ensure that the country’s high GDP growth delivers robust economic transformation, poverty reduction and improved livelihoods," AfDB said.

The East African | Feb 26, 2016
Mbona 1.1bn ndogo? maana railway 14bn na bagamoyo port 10bn
 
Hiyo bandari ya Bagamoyo sidhani kama ni high priority kwa miaka mitano ijayo!!
 
mkuu mambo gani ya kitaalamu?? Acheni hizo bwana. Ni nyerere pekee yake alikuwa na nia njema na sisi. Alijitahid sana kutufanya tujitegemee. Ni bora tubaki tulivyo kuliko kuzidi kukopa na kukopeshwa Ni mzigo mkubwa mnawatwisha tuw walala hoi. DART tumekopa holaa bomba la gesi holaa maden juu ya maden. Tukaaminishwa iyo mirad itatunufaisha sasa utalaam gani hapo mkuu? Kuwen tu na huruma na walala hoi. Mlala hoi anataka mlo wa uhakika maji ya uhakika na malazi ya uhakika. Anzen na hizo kwanza siyo mnakimbilia kukopa na kutandanza michuma ardhini. HAPANA!! Kuweni na Utu
Bure kabisa
 
Back
Top Bottom