AFCON 2019 EGYPT: MKUSANYIKO WA MAMBO/MATUKIO YA KUVUTIA/AJABU.

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,314
Wanaforum tukutane hapa kuhabarishana vitu/matukio ya kuvutia katika fainali hizi za mwaka huu 2019 zinazotarajiwa kuanza Ijumaa hii ya tarehe 21/6.

Tuanze kwa kushuhudia muonekano wa muonekano wa mlinzi wa Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Joash Onyango katika maandalizi ya AFCON 2019. Hivi sasa ana umri wa miaka 26.

 
Aache bangi Aisee. ..Mbona sura yake inaonyesha kuwa yupo sawa na baba yangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…