AFCON 2017: Maombi ya maandalizi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,364

Naona ndugu zetu wa Kenya wanameanza kampeni mapema...

cc: Jamal Malinzi




 

Attachments

  • kenya afcon.jpg
    52.1 KB · Views: 204
Bongo na TFF wamelala usingizi wa pono(samaki)
 
Kenya wako vema zaidi kuliko sisi, walishawahi kuandaa michuano ya AllAfrica Games...
 
Ndugu wadau, mwisho ni tarehe 30/09/2014, nchi zilizokwishatuma maombi ni

"Kenya, Algeria, Ethiopia, Ghana, Mali na Zimbabwe zinawania kuandaa makala ya 2017 baada ya Libya kujiondoa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama nchini humo." Source-BBCSWAHILI-ONLINE.

Wadau mbona sijaona jina la Tanzania. Wakati walisema wataomba? bado siku 8 tu!!!!

Nawasilisha!
 
Vigezo hatuna moja wapi ni kuandaa mashinfano ya africa chini ya miaka 17.
 
siasa inatawala kila kona...BTW..TFF Wamerudi ofisi za zamani????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…