Habari za jioni wanaJF, Nitangulie kumshukuru Mungu kwa siku ya leo.
Na ninamshukuru kunipa nguvu hadi kuwaangalia Zimbabwe wanavyomtesa bingwa wa jangwa(Algeria).
Kwa mkiki wanaoupata Desert foxes sidhani ka Tz stars wanaweza uvumilia. Kiukweli soka la bongo tupunguze siasa