Hawana team spirit hao, na ndo wanaponikera. Mi niko Tunisia...
Tayari Zuma keshafungua, anasalimiana na players.
Vuvuzela zipo....
Match inaanza sasa
Nyimbo za taifa zinaimbwa.
Huu wimbo wa Afrika Kusini unapoanza kama una sound kama wa Tanzania vile.
Bila hizi mashindano yatapoa.Vuvuzela zipo....
Kama upo Tanzania - SuperSport Select, SuperSport
Mkuu EMT,
Zuku wana chanel ya Europort pia haionyeshi hiyo mechi ukiwa TZ?