AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Refa noma. Anatafuta box office final japokuwa ghana wako ovyo this time
Kwani waarabu walitolewa na bukinabe mbona refa anahasira nao hivyo!
 
Mkuu unaangalia ama? Kipa aliguswa wapi pale?

mkuu nilipenda Ghana washinde, ila kwa huu ujinga wa refa bora wafungwe tu..refa hana hata mshipa wa aibu...sasa hivi nimehamia Brazil na England kwa sababu ya ubabaisha wa refa.
 
Hata wakitolewa sio mbaya Dunia nzima inajua wameonewa {Burkina Faso}
 
mkuu nilipenda Ghana washinde, ila kwa huu ujinga wa refa bora wafungwe tu..refa hana hata mshipa wa aibu...sasa hivi nimehamia Brazil na England kwa sababu ya ubabaisha wa refa.

Vp huko nani anongoza?
 
Aaah kazi ipo bukinabe nao wanakosa hapa!
 
Wakifunga hii itakuwa nitolee ... kafunga
Bonge ya penati utafikiri Pirlo vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…