AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Nasikia nigeria wanaongoza goli mbili.
 
Goal za naijeria zimefungwa na
-uchi ideye
-uchi echiejile
-uchi emenike
-uchi musa
 
Kocha wa nigeria, steven keshi, aliamua kuchezesha wachezaji wengi wanaocheza nyumbani, imemsaidia kwa kuwa wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nje wana nyodo sana na wanadharau makocha wazawa.
 
Bukinabe hapa naona wanawapeleka peleka Ghana
 
Fainali akiingia bukina itakua nzuri
 
Bukina anakosa goli hapa jamaa anapaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…