AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Binafsi ili kombe la afrika nililifuata Kenya 1996,wakanyang'anywa 7bu uwanja wa manispaa jijini Mombasa haukukamilika,wakapewa South Africa na nilibahatika kwenda huku NIgeria ikijiondoa dk za mwisho mambo ya siasa ya Sani Abacha ilipingwa na Umoja wa Mataifa so kundi C wakati ule likabaki timu 3 Gabon,Zaire(DRC) na Liberia,nilishudia mechi zote za Gabon jijini Durban uwanja wa Kings Park(sio wa sasa Moses Mabhida uliojengwa wakati wa world cup ukingoni mwa bahari,ila vipo karibu kama mita 200 hivi)Gabon alimchapa Zaire 2-0 akafungwa na Liberia 2-1 wakapita Gabon na Zaire ktk kundi C,na hata nikirindima mechi za Spain sio naona ktk luninga la,baadhi nimeshashuhudia kwa macho yangu,mimi ni kama Manolo el Del Bombo,hata mechi za TZ niliziangalia sana zamani ila toka nihamie Mkuranga(karibia na Linyola siri yako) ninakuwa mbali na soka la bongo na afrika kwa ujumla ni hayo!
 
wakuu kuna tete Zambia wamepewa ushindi baada ya wapinzani wao wa jana kumchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano..hivyo inasemekana wamefuzu.kwa anaejua chochote anaweza kutujuza.!
 
wakuu kuna tete Zambia wamepewa ushindi baada ya wapinzani wao wa jana kumchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano..hivyo inasemekana wamefuzu.kwa anaejua chochote anaweza kutujuza.!

[h=1]Caf denies rumours of Zambia reinstatement[/h]
The Confederation of African Football has denied that defending champions Zambia have been reinstated in the Africa Cup of Nations.
Thousands of Zambians celebrated on the streets on Wednesday as a rumour spread that Group C rivals Burkina Faso had been disqualified.
"This is not true," CAF secretary-general Hicham El Amrani told BBC Sport.
Zambia exited the finals on Tuesday after drawing 0-0 with the Burkinabe
BBC Sport - Caf denies rumours of Zambia reinstatement

 
Hii game Tunisia wamehonga piga ua!! In general officials wamekua very poor kwenye haya mashindano lakini leo anyone can see kuwa wako biased, wanawabeba wamanga waziwazi!
 


Ivorian fans ensure they look their best ahead of a match against Algeria in Rustenburg on Wednesday. The Elephants drew the game but had already booked their place in the next round, coming top of their group.



​
 
Leo tarehe 2 February kuna game AFCON?
SATURDAY

Africa Cup of Nations
17:00 Ghana v Cape Verde Islands
20:30 South Africa v Mali
Ghana: 16-Fatau Dauda; 4-John Pantsil, 15-Isaac Vorsah, 21-John Boye, 23-Harrison Afful; 8-Emmanuel Agyemang Badu, 10-Albert Adomah, 11-Rabiu Mohammed, 20-Kwadwo Asamoah; 7-Christian Atsu; 3-Asamoah Gyan.

Cape Verde: 1-Vozinha; 18-Nivaldo, 3-Fernando Varela, 6-Nando, 23-Carlitos; 5-Babanco, 15-Marco Soares, 8-Toni Varela; 10-Heldon 20-Ryan Mendes, 11-Julio Tavares.

Referee: Rajinjapasad Seechurn (Mauritius)
MASAA YA SOUTH AFRIKA NIMECOPY FIXTURE SUPERSPORT ..
 
AFCON FIRST QF ..
Ghana v Cape Verde Islands
GAME NDIO INAANZA NYIMBO ZA TAIFA ZINAPIGWA...
 
[TABLE="class: soccer"]
[TR="class: even"]
[TD="class: time time-playing"]02.02. 19:00[/TD]
[TD="class: timer playing match-status"] Half Time[/TD]
[TD="class: team-home"]Ghana[/TD]
[TD="class: score bold playing"]0 - 0[/TD]
[TD="class: team-away"]Cape Verde[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
dk 52.. ghana wanapata penalty..
wanafunga

[TABLE="class: soccer"]
[TR="class: even"]
[TD="class: timer playing"] 54 [/TD]
[TD="class: team-home"]Ghana[/TD]
[TD="class: score bold playing"]1 - 0[/TD]
[TD="class: team-away"]Cape Verde
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 



The 2013 Africa Cup of Nations has reached the knockout phase, after a typically eventful and colourful group stage. Here, a Togo fan celebrates the Sparrow Hawks' first qualification for the quarter-finals - at the seventh attempt.





Niger exited at the group stage, having earned their first Nations Cup point, after two finals appearances - matching the pre-tournament expectations of coach Gernot Rohr.





Nigeria's Victor Moses scored twice from the penalty spot against Ethiopia to put the Super Eagles through to the last eight, on their return to the tournament after failing to qualify in 2012.





Burkina Faso's Stallions also progressed - for the first time since they hosted the tournament in 1998 - at the expense of defending champions Zambia.
​
 



The Chipolopolo became the first defending champions since Algeria in 1992 to exit at the group stage - with three draws not enough to earn them a last eight place.​
 



Ethiopia's fans turned out in huge numbers for the country's first finals appearance in 31 years. They departed with a point, after a promising 1-1 draw with Zambia was followed by defeat to Burkina Faso and Nigeria.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…