AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

waarabu michuano kama hii ikifanyikia kwao mtawakoma wanazieweza fitina
 
Mechi ya congo inaonyeshwa na chanel gani?
 
Halafu ktk thread hii wale manguli wa ushabiki wa soka siwaoni kabisa,wapi idimi,mentor,balantanda,mfarisayo,bak,pazi,peasant etc!au wote hao ni diaspora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…