AFB -(Negative) ni aina gani ya Kifua Kikuu?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,958
12,935
Msaada Madaktari , nimeona kadi imeandikwa hivi Aina ya Kifua Kikuu

AFB + , AFB - , EPTB halafu kwenye AFB - ndio pawekwa tiki hii inamaanisha hapo ndio aina ya Kifua kikuu anachoumwa.

Naomba kufahamu kiundani hizo aina.
 
Hapana,hiyo sio aina ya TB. AFB ni kipimo kinachotumika kupima makohozi ya mtu anaedhaniwa kuwa na vimelea vya TB.
Hivyo basi, hiyo inaashiria kuwa Sample yake ya makohozi haijabainika kuwa na vimelea vya TB ndo mana AFB ni -ve, hapo vipimo vya ziada vinahitajika kama vile X-Ray etc.
 
[QUOTE="chilonge, post: 27421021, member: 265710"
Hivyo basi, hiyo inaashiria kuwa Sample yake ya makohozi haijabainika kuwa na vimelea vya TB ndo mana AFB ni -ve, hapo vipimo vya ziada vinahitajika kama vile X-Ray etc.[/QUOTE]
Na ndivyo ilivyokuwa sample ya makohozi haijabainika na vimelea ila wametumia picha za X-ray.

Sasa kwenye kadi ndio wameandika hivyo "Aina ya Kifua kikuu"
 
AFB ( ACID fast bacteria) maranying huripotiwa no AFB seen au AFB - iki maanisha huyo MTU hana maambukizi ya kifua kikuu kwenye kifua sample inayo chukuliwa ni makohozi ya asbuh kabla ya kula chochote.

NOTE: makohozi kuwa negative( AFB) hai maanishi kuwa hauna TB 100% kwasababu kuna false negative mahabara MTU asipo kuwa makini ivyo kuna kipimo kingne kina itwa
gene Expert ni kizur kwa uthibitisho.

Lakn pia TB inaweza tokea kwenye mifupa, uti wa mgongo, na hata kwenye moyo na sample huwa ni tofauti na makohozi.
 
Asante sana mkuu.
 
Hapana,hiyo sio aina ya TB. AFB ni kipimo kinachotumika kupima makohozi ya mtu anaedhaniwa kuwa na vimelea vya TB.
Hivyo basi, hiyo inaashiria kuwa Sample yake ya makohozi haijabainika kuwa na vimelea vya TB ndo mana AFB ni -ve, hapo vipimo vya ziada vinahitajika kama vile X-Ray etc.
Ziehl Neelsen stain technique (z stain techniques) or Gene xpert ndo vipimo vya kutambuwaa wadudu wa TB wenye maumbo ya AFB.
 
AFB ( ACID fast bacteria) maranying huripotiwa no AFB seen au AFB - iki maanisha huyo MTU hana maambukizi ya kifua kikuu kwenye kifua sample inayo chukuliwa ni makohozi ya asbuh kabla ya kula chochote.

NOTE: makohozi kuwa negative( AFB) hai maanishi kuwa hauna TB 100% kwasababu kuna false negative mahabara MTU asipo kuwa makini ivyo kuna kipimo kingne kina itwa
gene Expert ni kizur kwa uthibitisho.

Lakn pia TB inaweza tokea kwenye mifupa, uti wa mgongo, na hata kwenye moyo na sample huwa ni tofauti na makohozi.
Maelezo yametimia mkuu asante kwa elimu

Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom