Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,082 Reaction score 12,080 Dec 5, 2017 #21 laki si pesa. said: njombe uchawi umezidi sana Click to expand... Mkuu una ushahidi Njombe kuna uchawi uliozidi?
laki si pesa. said: njombe uchawi umezidi sana Click to expand... Mkuu una ushahidi Njombe kuna uchawi uliozidi?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,766 Reaction score 50,859 Dec 5, 2017 #22 New Nytemare said: Imetokea huko mkoani Njombe bibi harusi afariki siku nne baada ya harusi yake, yani kafunga harusi Jumamosi kafariki Jumatano, dah Click to expand... Njombe ni pana sana, hebu weka bayana ni wilaya gani, Tarafa gani, Kata gani na Kijiji gani if possible na mtaa, hiyo itasaidia walioko huko kutwambia habari hiyo kwa kina zaidi
New Nytemare said: Imetokea huko mkoani Njombe bibi harusi afariki siku nne baada ya harusi yake, yani kafunga harusi Jumamosi kafariki Jumatano, dah Click to expand... Njombe ni pana sana, hebu weka bayana ni wilaya gani, Tarafa gani, Kata gani na Kijiji gani if possible na mtaa, hiyo itasaidia walioko huko kutwambia habari hiyo kwa kina zaidi
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,581 Reaction score 14,159 Dec 5, 2017 #23 Pumzika kwa amani mrembo
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,938 Dec 5, 2017 #24 Ni hapa Tz?
K Kapwela JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 2,011 Reaction score 1,270 Dec 5, 2017 #25 Mama Sabrina said: Kifo kilikua kinasubiria aolewe jamani Click to expand... So kukiepuka kifo alipaswa kutoolewa, to cheat death! Pole kwa wafiwa, na RIP dada!
Mama Sabrina said: Kifo kilikua kinasubiria aolewe jamani Click to expand... So kukiepuka kifo alipaswa kutoolewa, to cheat death! Pole kwa wafiwa, na RIP dada!