Afariki siku ya nne baada ya harusi

Afariki siku ya nne baada ya harusi

Imetokea huko mkoani Njombe bibi harusi afariki siku nne baada ya harusi yake, yani kafunga harusi Jumamosi kafariki Jumatano, dah


Njombe ni pana sana, hebu weka bayana ni wilaya gani, Tarafa gani, Kata gani na Kijiji gani if possible na mtaa, hiyo itasaidia walioko huko kutwambia habari hiyo kwa kina zaidi
 
Back
Top Bottom