Afariki siku ya nne baada ya harusi

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,428
Reaction score
2,652
Imetokea huko mkoani Njombe bibi harusi afariki siku nne baada ya harusi yake, yani kafunga harusi Jumamosi kafariki Jumatano, dah very sad!
 
Ile kauli ya " tukose wote" yawezekana imetumika. Vijana huwa tunakosa msimamo kwenye masuala ya kimahusiano ya kimapenzi. Unaweka ahadi na huyu kesho ukipata mpya wa zamani unamtelekeza tena na vijembe juu. Mwisho wa siku mambo kama haya hutokea. Japo yaweza kutokea kwa mipango ya Mungu pia. Pole kwa bwana harusi ajitafakari kabla hajasonga mbele.
 
Alikua na mimba ama maana naona kitambi...
Ila r. I. P
 
R.I.P Mwenyenzi Mungu ampokee mja wake na awape faraja wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…