Miaka ya nyuma niliwahi kutumia ivo vidonge na vilinisaidia sana maana kuna kipindi mpaka nilihisi nimerogwa!! baby mama analalamika kabisa nawahi kufunga magori, nikaona hii hapana inaweza niletea kusalitiwa nikaogopa.
Huku na kule nikaona solution ilo baki nikimbilie kwenye ivo vidonge. Mwanzo ilikua poa ila baadae madhara yakaanza.
Kuna siku hadi mke alijua maana ngoma tulipiga kila style ila wazungu wakitoka ngoma hailali, akajitahidi mtoto wawatu kila kitu waapi, mara akaanza kunimbia mbona unaota misuri kichwani na usoni
!!? Mara mbona umebadirka macho yamekua mekundu
!!? Af nikaanza kusikia mapigo ya moyo yanadunda sana wife akawa kama anataka kulia nikaona hiki ni kifo🥲
Wazee sikulala nilienda chooni labda maji barid yangesaidia ila waap, wife ye akalala zake, nikaona nianze kusoma kitabu kitakatifu mara nikaanza kuona kama ukungu ivi walah na utu uzima wote machozi yalianza kunitoka nikajua hapa kesho sitoboi, nikiwaza kuondoka lazima mke atataka maelezo naenda wapi usiku wote na nikienda nae hospital atajua inshot nikesha kwa mateso ila kulipikucha niliwahi hospital wakanisaidia na tokea siku iyo sijawahi kurudia tena.
Nilivopona niliwaza na kujiuliza mbona mke wangu niwakawaida tuu hata tako hana kajaliwa tuu akili za maisha na mbona anajiamini! sasa yanini mimi nikosa kujiamin vile nilivo!?
Ndugu usije kukubali kutumia ayo madawa sio kabisa we fanya unavyoweza mke/mchumba akiona humfikishi anapotaka wacha aende kwa wengine tuu wakamyooshe anavyotaka nawe tafuta size yako hii dunia tunaishi maramoja usikubali kujitesa.