Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
Hilo si jambo la ajabu kwa jamii ya wafugaji, kama umewahi kuishi au unatoka katika jamii kubwa za wafugaji kama wasukuma na umewahi kujishughulisha na kazi ya kuchunga mifugo huwezi kushangaa kwani hayo ndio maisha yao.
soma bwn the line ulikuwa ni mchezo wake wa muda mrefu,anauzoefu huyu mtu hakuna ukame wala nin pepo hilo,ukame mbona wapo wanajiuza very cheap nw a day
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
kufanya mapenzi ni kuingiliana kimwili na mwenza wako mlio ndani ya ndoa ... watu walio nje ya ndoa au ambao hawajao wala kuolewa hawafanyi mapenzi bali wanafanya uesharati / uzinifu na huyu aliye fanya na mnyama hakufanya mapenzi wa uesherati bali alimbaka huyu poor creature ...