Afande

Kazi ya "geshi yahitaji kugangamala" ndo dizani hii hujisau na kusema "boss nimeota umekufa"
 
Yupo kama yule alikuwa anafanya kazi CRDB pale azikiwe......sio huyu kweli kapigika!
 
Hapo naona ana tafakuru na kutafakari hiyo kazi kwa masilai yepi na anajiona na umri ndo una anza kumtupa mkono au atakuwa omba omba hapo baadaye
 
Kapitiwa na usingizi huyo.

Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini
 
Kapitiwa na usingizi huyo.

Sasa ingekuwa lindo la usiku si ndio majambazi na vibaka wanajichukulia kiulaini

Halafu asubuhi anasingizia kapuliziwa madawa
 
hako kachupa hapo pembeni usikute kalikuwa kamejaa yale maji wanayokunywaga madreva wa dala
dala halafu macho yanakuwa mekundu
 
Siyo afande ni mgamboo,'afande ni mwanaume na raia ni demu'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…