mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Moja kwa moja niende kaende kaenye point
Mabasi asilimia zaidi ya 90 ni chakavu, yanalazimishwa kutembea barabara ya bagamoyo dsm msata.
Nasikitika sana barabara inatengenezwa na kodi tunalipa iweje madereva na makondakta wanachuma pesa kwa magari mabovu yasiyofaa kutumika.
Njoo uone mwenyewe...
Gari tatu mfululizo zimetuzimikia njiani, tatu mfululizo, Siku tofauti, halikuwa swala la bahati mbaya.
Kuna uwezekano magari haya ndio haribifu ya barabara iliyokuwa nzur. Na itatia hasara tena gari za namna hizi zikiendelea kusafiri kwenye njia hii.
Mamlaka zinazohusika zisaidie. Imekuwa kama jadi madereva kufanya makusudi aidha gari zao hazina uwezo wa kukamilisha safari dar kwenda bagamoyo na kuanza kuwafaulisha kwenye magari mengine.
Dereva wa bagamoyo kuongea na simu...tena anaongea na mwenzake dereva wa gari la nyuma take ama basi linaloelekea upande mwingine ili kumuelekeza abiria wapo au hawapo njiani ili afanye kitu kinachoitwa timing hii timing ni namna ya kuendesha kwa spidi ya '10 kwa saa' au kuegesha gari na kusubiri mwingine afaulishe.
Kwa abiria wa bagamoyo DSM msata watakunaliana nami.
Nauli yaTegeta Nyuki na Nauli Bunju Bagamoyo inahujumiwa. Nashauri gari zote zianzie tegeta nyuki.
Asante Kamanda.
Salute kwa kazi nzur