Siwapendi CCM, lakini Abood ni mmoja wa wabunge wachache wa CCM ninaowakubali, haongei sana bungeni, ila anaongea sana jimboni kwake na anatekeleza wajibu wa mbuge kwa vitendo. Kwa ufupi huyu jamaa anatisha!
We vipi?? Afande Sele ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT-Limited katika zile nafasi 5 alizopewa Kiongozi Mkuu 'kumgawia' yeyote amtakae. Wewe humtaki wakati Kiongozi Mkuu ndio tegemeo lake?! Unamkosea adabu mkuu wa kampuni yenu
Huyu Afande Sele alipofika Butiama juzi aliniambia" Brother Andrew tupige picha". Sasa mimi nilikuwa simfahamu huyu. Nikasikia chorus ya sauti zinasema" Afande Sele". Nikauliza" Huyu jamaa ni mwimbaji?". Kwa hiyo tukapiga picha na. Afande Sele, Zitto,mimi na one or two others. Kama anataka kuwa mbunge . I wish him my intergalactic blessings kutoka kwa Kamanda Ashtar na Kamanda Hatonn.
ofcourse yes. nawadharau sana. masikini naililia kodi yangu inayopotea kwa kulipa hawa jamaa, najuta kuchanguliwa kwa hao mbwiga.
hivi wewe hujisikii fahari kuwa na mbunge kama Zitto? lisu?, mwingulu? mnyika? makamba? msigwa? mdee? mnyaa? na wanaofanania na hao? hatakama wanahudumiwa kwa kodi yako kidogo inapunguza maumivu.
hapama, sijawapigia kura ila wanalipwa na kodi yangu. ni afadhali wangechagua hao wapiga kura wangechagua mawe maana mawe hayahitaji huduma yoyote na kodi yangu ingekuwa salama.
hivi wewe hujisikii fahari kuwa na mbunge kama Zitto? lisu?, mwingulu? mnyika? makamba? msigwa? mdee? mnyaa? na wanaofanania na hao? hatakama wanahudumiwa kwa kodi yako kidogo inapunguza maumivu.