Afande Sele VS Abood 2015

Afande kugombea Moro mjini kakosea timing,Moro mjini hawezi kushinda
 
nimebahatika kukaa morogoro mjini kwa muda wa miezi sita Abood ni moja ya wabunge waliokaribu sana na wananchi na anakubalika sana so Afande labda aende matombo.
 
We vipi?? Afande Sele ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT-Limited katika zile nafasi 5 alizopewa Kiongozi Mkuu 'kumgawia' yeyote amtakae. Wewe humtaki wakati Kiongozi Mkuu ndio tegemeo lake?! Unamkosea adabu mkuu wa kampuni yenu

Haya umesikika mkuu na maneno yako ya kuaminika kabisa.
 
Dunia inakaribia ukomo wake sasa

Nilikua sijui kama bange inaweza kuongoza jamii

acha ufyatu wewe.....wabunge kibao wa chama chenu wanatumia bangi,mawaziri kibao wanatumia bangi.....hadi rais wa dunia alishatumia mmea na bado anatumia....acha kuvuta sigara tumia mmea.sigara itaakua kwa TB kijana
 
Kula msuba sio tatizo obama mwenyewe alishawahi kukirii alikua anakula msuba pia ata viongozi wetu wapo wanaokula msuba sio mpaka wajitaje jengeni hoja za maana msuba sio kitu cha maana sana kujadili........ma great thinker uchwara tu
 
Afande kugombea Moro mjini kakosea timing,Moro mjini hawezi kushinda

Nyie hamwelewi. Afande Sele wakati yuko kwenye 'chati' alipiga hela ndefu sana. Ule ushindi wa Mfalme wa Ryms 'ulitengenezwa' kwake kwa vile alikubali kumkatia 'mpunga' Shigongo tofauti na mwenzake ambaye 'alichomoa'. Sele alijua kwa kitendo cha kuwa 'mfalme' mbali na kale kagari lakini jina litapanda hivyo atapiga sana shoo. Hilo likatokea na kweli jamaa alikamua vya kutosha.

Tatizo likahamia kwake. Ngono na pombe ndio ikawa ndo ibada yake. Mibangi ndio ikawa misosi yake. Jamaa akaanza kuharibu kwenye shoo na maelewano na mapromota yakafa. Mshkaji alikuwa anapewa advansi ya kupiga shoo anaingia mitini. Mwishowe akawa MAJALALA jumla.
Mai waifu wake (R.I.P) 'akaanza yake' na vijana wa kihuni(Hapa kwa heshima ya marehemu naomba nisiingie ini dip kufafanua)
Jamaa ikawa 'naomba ya fegi' nyingi sana.
Sasa kitu kimoja alichobahatika ni kuwa yeye ni MHA. Na wakati anajiunga Chadema alidhani 'jina' lake laweza kuwa ngazi ya Chadema Morogoro na viongozi wa Chadema watakuwa 'wanamtoa toa'. Hali haikuwa hivyo. Alipofiwa na dada yake yule aliyekuwa mhudumu wa vinywaji kwenye baa pale Masika inaaminika Chadema hawakumpa 'ubani' ndio akasusa. Akaenda kwa MHA mwenzie, ndo jamaa akampa safari za kukinadi chama ili apate vi posho kupunguza makali. Na uelewe hata mkuu wa chama anajua kuwa Sele ni kiazi
 

Ahsante mkuu kunijulisha,alichezea kete yake pale alipokuwa mfalme wa rhymes hata hivo unakumbuka kwenye zile harakati za vinega alimsaliti sugu,na kweli nilikuwa nawaza kwamba chadema wangemsimamisha Moro mjini wangefanya makosa.
 
Duuuuuuu Jf hakuna think tank hawa Bavicha( Baraza la vichaa Chadema) wamesahau ujumbe mzito wa viongozi wakuu wa Chadema ulitoka Dar kwenda kumpa kadi Afande Sele? Leo hii mnamtukana? Ama kweli vichaa mmeundiwa baraza lenu. Hata mwaka haujaisha mmeishasahau. Mhhhhhh Tz ni sheeeeedah
 

Upo sahihi kabisa mkuu, kuna siku alikuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi akadai kuwa anasikitika alipofiwa na mke wake CHADEMA hawakumsaidia kwa chochote...

Binafsi sijawahi ona chama cha siasa kinasaidia mwanachama wake wa kawaida kwny matatizo yake ya kifsmilia...

Alipokuwa CHADEMA hizo picha zake za aibu zilikuwa zina aibishq chama, ni bora amekimbilia kwa ---------:sly:
 

Attachments

  • 1429968698955.jpg
    58.3 KB · Views: 233
Tegemeo la wana Morogoro, saa ya ukombozi ni sasaaaaa???

picha si ndio mlichapwa nayo mlipokuwa mnatamba na huyo chaliii leo hii mmeisahau? Ni sheeedah. Mliitetea kwa kila hali sasa leo vipi Bob. Vichaa vinapanda na kushuka?
 
Afande sele alikimbia chadema baada ya kushtukia kwamba hawataweza kumteua kugombea ubunge moro mjini.ni msanii na watu tunampenda kwa kutuburudisha ila kwa suala la siasa hapana.kwamba eti atusaidie kupitisha sheria za nchi,hapo hapana aloo.labda kama ataenda kuimba bungeni hapo sawa..ajikite kwenye muziki na tutaendelea kumpa support.no disrespect
 
napenda miziki ya sele lakini kura yangu siwezi mpa. najua kabisa naipoteza haki yangu kwa kuchagua below jiwe. afadhali kupigia jiwe halitakula kodi yangu bure kuliko huyo jamaa. the same applied kwa lema, sugu, kibajaji, prof. maji wafupi, asumpta, wenje na wanaofanania.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…