scholarsway
Member
- Jul 18, 2013
- 25
- 2
Anaweza Kurusha ngumi Bungeni kama mwenzie s****g
We unadhani kipi kitashinda?Ni kweli majini hayapatani na bangi?Bangi na majini kuchuana hapo
Anaweza Kurusha ngumi Bungeni kama mwenzie s****g
hawa wabunge! afande sele awe mbunge! kweli sasa hii siasa!
Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema
View attachment 129652 View attachment 129654
Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao.
View attachment 129653View attachment 129658
Habari za ndani zinadai kuwa CCM MKOA wameingiwa na hofu kubwa kwani Msanii huyo ni kipenzi cha vijana wengi mjini hapo. Wadau mnaijua hii?