Afande sele akivua stage noma,akon je?

Hehehehe hii nimeona alipo vua Afande Selle watu tulimponda sana lakini nashangaa hawa jamaa wanapongezwa sijui kwa vile masupa staa? Na wasanii wetu wataiga nyie subilini kwenye Fiesta huko.
 
Labda waliomponda Afande Sele waliuangalia utamaduni wa kiTanzania zaidi ambapo mtu akifanya kitendo kama alichokifanya Afande Sele mara nyingi huonekana ni 'kichaa' ama ana ulimbukeni wa kuiga tamaduni za kimagharibi ambazo watu kujiachia uchi kama walivyofanya Akon na Wyclef Jean kwao ni kitu cha kawaida tu..Na Akon japo ana asili ya Senegal,ni mmarekani maana muda mwingi wa maisha yake ameutumia akiishi Marekani kiasi cha kupewa uraia wa nchi hiyohttp://www.google.co.in/search?hl=en&source=hp&q=akon+wikipedia&meta=&aq=0&oq=Akon+wiki)...So Afande Sele bado atazidi kushangaza kwa kitendo chake alichokifanya kutokana na Utanzania wake
 

True that but still Akon amechemsha... You cant just put the thing kinamna ile, Wycleff stopped some steps shorter

Anyway, kunya anye kuku, akinya bata uharo!!
 
True that but still Akon amechemsha... You cant just put the thing kinamna ile, Wycleff stopped some steps shorter

Anyway, kunya anye kuku, akinya bata uharo!!

Nimekusoma mkuu...Pa1
 
halafu huyo afande sele hiyo afya yenyewe ya kuitangaza hivyo iko wapi??????
hata pafyumu tu ya maana hakuna,kuvua nguo kuwapa watu harufu ya jasho tu
 
Tofauti ipo kwamba akina Wyclef wanaonesha dizaina box, Emporio Armani, wakati ndugu yetu afande anaonesha kabox mtumba ..Bwa ha ha ha ..
 
Kwa hiyo kisa Akon na Wyclef wamefanya kwa hiyo ina justify Afande alicho kifanya? Siyo lazima kuiga jamani. Pia what works for some one else may not work for you. Kuna vitu mwenzio atafanya ata shangiliwa lakini ukifanya wewe unakua kituko. Ni kama nguo vile. Unaweza kuvaa kitu watu waka sema hauja pendeza lakini akavaa mwenzio nguo hiyo hiyo watu wakawa wanamsifia kapendeza. Afande do what works for you bro.
 
Hawa jamaa huu upuuzi uwa hawaufanyi kwao. Sana sana wataishia kuvua mashati.
 

Hapana hakuna biashara yoyote
wote nawaona kama mashoga.
Mwanaume na akili zako ufanye hivyo? hata kama umezaliwa na passport ya marekani matakoni huo ni upuuzi
 

Hii ndizo imani tulizonazo kwa hawa jamaa kutoka majuu,hatuwezi kuona wamekosea!siku nyingine watakuja watupu kabisa,au waduu kwenye stage,tuseme wanatangaza ndom!hii ni km dharau kwetu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…