Kuna viongozi wanahama, wanakufa, wanachoka nk. Inapobidi nafasi hujazwa. Hii inahitaji akili ndogo sana kujua. Mwenyekiti wa kata ya Mafiga alihama, na Afande Sele amekula Bingo. Nakuomba usimuonee wivu, mtie moyo.huyo ata akienda bagamoyo kugombea ubunge atakuwa mbunge si morogoro tu, kabeba ufalme wa rymes akiwa moro sembuse ubunge.
Da hila kumtoa yule mbunge wa moro mjini kazI hIPO.
Kwani afande alikuwa cha gani kabla?
bila shaka atahimili maana alishapitia ligwalide pia.....karibu afande,huku wote ni makamanda na tuko mstari wa mbele kuliangamiza dudu moja baya la maccm lililotafuna nchi kwa miaka zaidi ya 50. Vaa gwanda tuchape kazi...
hata arnold schwarzenegger alikua anabana kalio hadharan na bado akawa governor wa california:usa: sembuse sele kujiunga na siasa acha mawazo mgandoooo:dance:View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
bila shaka atahimili maana alishapitia ligwalide pia..