Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.Mwanamziki mashuhuri Tanzania, anayejulikana kama Afande Sele Amejiunga na M4C, kwa kuingia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mji wa morogoro ulirindima vifijo wakati Afande akizunguka na Msafara wa Piki Piki kuwaaga rasmi wale wasio na misimamo thabiti Kisiasa, kama inavyoonekana katika picha. kwa upande mwingine wapenzi wa CCM walionekana kuwa nahofu na uchungu, na walihisi sasa mambo yanazidi kuwa magumu sana kwao.
Kata ya mafiga wa upande wake ilionekana kutekwa kabisa na CHADEMA, huku katika mkutano wa Ndani Afande Sele alichaguliwa kushika nafasi ya Uenyekiti wa kata hiyo, katika kipindi hiki cha kushusha chama kwa wananchi (Program ya Chadema ni msingi), ambayo imekuwa mwiba mkali kwa CCM.
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.
Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.
Wavua nguo kama sele mnajulikana tu mkuu.wanataka ukombozi wa kweli kutoka cdm wamewachekeni wakoloni weusi nyinyiem upo hapo mkuu
Mkuu kwani hujaona picha za sele alizovua nguo?heshima mkuu muhim acha utoto
Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.
Kwa mchungaji natse.kijiti cha leo umenunua wapi mkuu na mm nikapate pafu ya kulalia?
Atuwekee picha ya jangili wa tembo pamoja na profesa Mlawiti!Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.
Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.
Mimi nimpongeze mtu anavua nguo hadharani ntaanzia wapi mie nendeni na mashetani yenu.Nilifikiri utampongeza, kwamba anaingia kwanye mambo ya watu wastaarabu. Ameachana na watu wenye roho mbaya na matusi kama wewe.
Ahsante mkuu kwa picha nilitaka waone watu huyo sele anayesemwa alivyokituko ha ha ha ha,bado ya yule mshikaji mwingine sasa kweli chadema manyago.View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
Mkuu na wewe upo kundi la amfibia pole sana vitanda ulivyovitandika lazima uvitandue tu.Atuwekee picha ya jangili wa tembo pamoja na profesa Mlawiti!