Afande njoo unikamate!!

Dah huu ni uharibifu wa rasili mali za taifa, kwa kutumia kiumbe cha aina hii ambacho ni adimu kuwa mlinz sio haki kabisa
hako katoto sio kaafande kamevaa nguo za dada ake tu anaishi laini polisi pale mabatini Mwanza kamemaliza na mdogo wangu pale mwanza sec kalikuja home muda flani nilikua likizo
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu hii inaitwa matumizi mabaya ya rasilimali watu.

Huyu mtoto aliumbwa awe ua kwenye hii dunia kwa ajili ya kuchumwa na wanaojua kuchuma maua, leo wamemgeuza kuwa mkimbiza vibaka mitaani??

Huu ni uonevu wa hali ya juu sana

mkuu asigwa; Huo si uonevu wa hali ya juu bali ni utumiaji mbaya sana wa rasilimali watu. Ni jipu nalo huko Wizarani. Tunaomba mh. jpm naye aangalie hili nalo asiangalie tu wanaotukanwa huko barabarani.
 
Siyo ubishi mkuu. Askari wa kike havai hivyo. Anavaa skirt ya blue na shirt la kaki.
Askari wa kike pia huvaa hivyo ukiachilia mbali shati jeupe na sketi ya bluu. Pia huvaa shati la khaki na sketi ya bluu ama shati la khaki na suruali ya khaki. Nimewahi ku date na askari wa kike hivyo niliyazowea hayo mavazi.
 
Huo ni uharibifu wa sukari aiseeee.....[emoji39] [emoji39]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…