Afande njoo unikamate!!

sasa sijui utamtukana ili upandishwe cheo au ndo utanyemelea
Ila mmi ningeomba anifunge pingu kunako 6,6
 
Huyo hawezi kuwa afande hata siku moja. hayo magwanda kachukua ya buzi lake then kavaa. weeeee afande awe hivyo then mmepangiwa lindo moja night daaah!!!!
 
Huyo hawezi kuwa afande hata siku moja. hayo magwanda kachukua ya buzi lake then kavaa. weeeee afande awe hivyo then mmepangiwa lindo moja night daaah!!!!
Mlitaka nyie tu wamaofisini kama benki, halmashauri, makampuni mfaidi??? Halafu maafande wawe wanaishia kula kwa macho??? Acheni nao wafaidi....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…