afande naomba unikamate mm

Ndo wewe ni doctor halafu afande anakuja kwako ana maumivu ya mgongo, kichomi - Utamgeuza kama mpira, lazima umpime Ultra sound lol
 
hahaaaaa! mkuu hongera sana!
anza kupokra hongera zangu mapema sana!!!
Mkuu, wangekaharibu tu kale katoto kawatu aisee. Mi polisi ile ilivyokomaa dah, nikakuta roho ya huruma imeniingia ghafla. Nikasema hapana, sura kama hii haijaumbiwa shida, itakua tunaharibu kazi ya Muumba. Anahitaji fullu ac ili kuendelea kutunza alichoumba Mwenyezi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…