afande naomba unikamate mm

Hapana nikamate mimi kwanza
 
Na akusachi mwili mzima... hahahahaaaaaa
 
Huyu angekuwa dokta ndo ingekuwa poa
 
Nimempenda sna ni mzr hafai kuwa afande hizo nguo kaazima tu
 
Dah huyu akitokezea mbele lazima ufanye uhalifu, akikukimbiza unakimbilia "room"...Kha, mtoto kama haendi chooni!!
 
Nakajua katoto kamoja kamemaliza form 4 familia haiko vizuri kwahio kakaomba polisi kakapata. Kako kama huyo nyaturu mixture burushi. Nimeamua kuingilia kati na kujitolea kakasome airticketing au iT au secretarial yani vitu laini laini tu. Maana mafanikio yake ya maishani anayo tayari. Baada ya miaka miwili mh...sijui.
 
Hata ka queen fetty aka dj fetty, kakivaa kombat kako hivyo.
 

hahaaaaa! mkuu hongera sana!
anza kupokra hongera zangu mapema sana!!!
 

Weka pichaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Acheni kujipendekeza?! Mna makosa gani hadi aje kuwakamata nyie?!!!...si bora mie chumbani kwangu kumejaa misokoto ya bangee!!! Afandeee njoo huku
 
Acheni kujipendekeza?! Mna makosa gani hadi aje kuwakamata nyie?!!!...si bora mie chumbani kwangu kumejaa misokoto ya bangee!!! Afandeee njoo huku[/QUO
Lol.. afande nenda kwa kiteitei over!
 
Dah huyu akitokezea mbele lazima ufanye uhalifu, akikukimbiza unakimbilia "room"...Kha, mtoto kama haendi chooni!!
wewe ni mtabiri??Yani umeona sura tu, umeweza kutabiri kua ana mzigo?hakika macho yako yana uwezo zaidi ya CCTV-camera
 

Tumuone kifurushi chote basi, maana haya masuala ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia sio mazuri. Inanikumbusha picha moja iliwekwa humu, sura yake ilikuwa grade A ila super flat screen, nikachoka! Toka siku hiyo nasubiri nione kifurushi chote kwanza!
Ila sura iko hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…