GE2025 Afande Muliro: No Reforms No Election haipo kisheria, haiwezekani kabisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Ukifuatilia mapokeo ya hii dhana ya NRNE, unagundua nchi yetu ina changamoto kubwa ya uelewa wa mambo. Inawezekana pamoja na sababu kadhaa kiwango chetu cha uelewa wa mambo na kufanya maamuzi sahihi ni miongoni mwa sababu zinazotufanya tuendelee kuwa maskini.

Hawa wapuuzi CHADEMA wametuletea hii dhana yao ya NRNE ambayo kwa mtizamo wangu ni dhana ya kuamsha tafakari miongoni mwa watanzania juu ya mifumo yetu ya uchaguzi. Hii ni kuhusu je, hapa nchini tuna 'UCHAGUZI', je, unakidhi vigezo vyote vya kuitwa uchaguzi?, je, wadau wote kwa maana ya mpiga na mpigiwa kura, wasimamizi na waangalizi wanaridhika na mchakato mzima wa chaguzi zetu?. Sasa hawa wajinga wa CDM wao ktk maswali hayo yote wamejipa jibu la No, ndipo wanakuja na hitimisho la nini kifanyike ili ionekane kweli kuna uchaguzi na ilo hitimisho lao ndio hii dhana ya NRNE.

Sasa kinachofanywa na baba yangu kamanda hapo, waandishi wa habari, sisi tunaojadili hapa na viongozi wetu kuendelea kujadili ili suala kimantiki yake au vinginevyo ni kuendelea kuwapa ushindi hawa manyumbu wa ufipa. Nionavyo, ktk movement nyingi walizokuja nazo hawa wapuuzi, hii ndio yenye mafanikio makubwa sana. Kivipi, mjadala na tafakuri ya NRNE haitoisha leo wala kesho, na itapamba moto zaidi mara tu baada ya uchaguzi wa Octoba kukamilika.
 
hovyoooooo
 
📌📌📌📌📌

IMG-20250722-WA0001.jpg
 
kumbe kuna wanaCCM wana akili!
kong'ole kwako

ni watu wachache sana wanaweza kuelewa akili za TAL, wewe mmoja wapo
 
Tatizo la wabongo vichwa vyetu vizito sana kuelewa na kuchanganua mambo, so huyu mkubwa alijua chadema wataenda kwenye kila kituo au kubeba mabomu na kuzuia magari ya makaratasi ya kura?? Kwani Tundu Lissu (simba) hajui mapolisi yamejaa kila kona na yatakua yanazurura mijini vijijini na vituoni kote tayari kumwaga damu kama kawaida yao?

Hii ni chenga ya mwili, kuzuia uchaguzi ni kuufanya uwe BATILI ambayo tayari chadema wamefanikiwa sana kuuzuia, kitakachofanyika ni maigizo tu na hautakua na credibility yoyote! Ingekuwa anamaanisha manguvu wangeenda vituo vingapi sasa? Hii tu kuwashughulisha masisiemu, machawa na mavyama ya mfukoni ndio kuzuia kwenyewe yani, ni hayo

Yani uchaguzi ushazuiwa tayari kitakachofanyika kama masisiemu yatafanya ni comedy tu za mama na bongofleva/movie! Wanavyotangaza haya na kuendelea kuwaumiza chadema ndio wanakamilisha zuio lenyewe kimwili na kiroho!

Na kwa kukosa credibility wapigakura kwa mamilioni watajilalia tu home, nani akapoteze muda wake kwa matokeo yanayojulikana tayari!? Hapo haujazuiwa tu?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Anazungumza kama Kamanda kanda maalum Dar es salaam au kama Muliro?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Huyu babu ana takiwa aende Kigoma kuvua dagaa. Na kulea wajukuu.. Kiongozi wa serikali hatakiwi kujihusisha na siasa hadi ana onekana mrengo wake.
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Hii Muliro hamna kitu kabisa kichwani. Kwani October tunatiki IPO kisheria?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Murilo ni kamanda wa kanda maalum ya dar es salaam, lakini anaongelea mambo ambayo yalitakiwa kuongelewa na igp au msemaji wa jeshi la polisi. Ni muda mrefu na amenyamaziwa. Huenda ndio utaratibu, binafsi naona haufai.
 
J
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Je kazi iendele ipo kisheria
 
Je Oktoba tunatiki ipo kisheria? Je, wewe ni msemaji WA CCM katibu mwenezi, Je ni kosa la jinai watu kudai HAKi ya kikatiba kuwa na reforms na kupigwa kura? Mzee muogope mungu na teknolojia
 
Tatizo la wabongo vichwa vyetu vizito sana kuelewa na kuchanganua mambo, so huyu mkubwa alijua chadema wataenda kwenye kila kituo au kubeba mabomu na kuzuia magari ya makaratasi ya kura?? Kwani Tundu Lissu (simba) hajui mapolisi yamejaa kila kona na yatakua yanazurura mijini vijijini na vituoni kote tayari kumwaga damu kama kawaida yao?

Hii ni chenga ya mwili, kuzuia uchaguzi ni kuufanya uwe BATILI ambayo tayari chadema wamefanikiwa sana kuuzuia, kitakachofanyika ni maigizo tu na hautakua na credibility yoyote! Ingekuwa anamaanisha manguvu wangeenda vituo vingapi sasa? Hii tu kuwashughulisha masisiemu, machawa na mavyama ya mfukoni ndio kuzuia kwenyewe yani, ni hayo

Yani uchaguzi ushazuiwa tayari kitakachofanyika kama masisiemu yatafanya ni comedy tu za mama na bongofleva/movie! Wanavyotangaza haya na kuendelea kuwaumiza chadema ndio wanakamilisha zuio lenyewe kimwili na kiroho!

Na kwa kukosa credibility wapigakura kwa mamilioni watajilalia tu home, nani akapoteze muda wake kwa matokeo yanayojulikana tayari!? Hapo haujazuiwa tu?
Halafu? Nini kinafata baada ya unayoyaita maigizo? Nani atakuwa mtawala na nani mtawaliwa?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Stupid as stupidity sheria ipi inaruhusu wizi wa kura. Sheria ipi inaruhusi polisi kubeba kura za wizi?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Siasa ni ushawishi sio enforcement No reform no elections , sio size ya huyo mwendawazimu . Hawezi kuelewa. Swali ulitakiwa kumuuliza kama anakili iikuwa yeye atalazimishaje watu kwenda kupiga kura? Au yeye atawezaje kulinda vituo vyote vya kupigia kura .
? Sasa wananchi wakikaa majumbani kwao siku ya kupiga kura polisi wataenda kuwalazimisha?
 
Back
Top Bottom