Afande mchepukaji

Hapo anaenda kukamendea kahausi gelo nyumba ya jirani...
 
Mmh hapana watu8 kuna tukio hapo mwangalie mkononi kashika mini halafu nyuma yake kuna mkono unamwonyesha kitu.....!!!! Ila kakaa kizembe mno
 
Last edited by a moderator:
Hii picha kama sikosei ni ya yule nyau aliyepigwa risasi na akawa mbishi kufa huyo paka alikuwa na roho 70 sio 7. Ilitokea majuzi huko kenya. Sasa hapo wanamshangaa kuwa bado anahema na anakimbia.
 
Yule hakuwa paka mnyama alikuwa paka kizuka
 
Mmh hapana watu8 kuna tukio hapo mwangalie mkononi kashika mini halafu nyuma yake kuna mkono unamwonyesha kitu.....!!!! Ila kakaa kizembe mno

Nionavyo Mimi kuna nyoka mkubwa kwenye mti angalia kwa makini sana rangi kama weupe weupe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…