Afande Mbuzi ndani ya jeshi la Uingereza

Afande Mbuzi ndani ya jeshi la Uingereza

Mbona waingerez wanatumia mbuzi jeshini toka zamani sana? Nyie kwa vile mmenunua visimu vya internet juzi juZi ndio maana mnashangaa
 
Maarifa hausomeki mkuu!
Azazeli
Karika mfumo wa imani ya Kiyahudi, Azazeli anachukuliwa au kujulikana ni malaika miongoni mwa wale wa Jeshi lililoasi na kutupwa chini, kwa mujibu wa Kitabu cha Henoko. Mtazamo wa kimapokeo ni unaamini kwamba kulikuwa na viumbe wawili waliofanana na mbuzi wawili walioelezewa hapa katika kitabu cha Mambo ya Walawi sura ya 16 mmoja kati ya viumbe hawa atambuliwa na Yahova na wa pili alitambuliwa na Azazeli. Fafanuzi za marabi humjua yeye kama ni miongoni mwa Jeshi lililoasi na kutupwa hapa duniani. Kura zilikuwa zinapigwa katika kumchagua mbuzi. Kila kura ilihusisha mmoja kwa Yahova na mwingune kwa Azazeli (kwa mujibu wa Rashi, Soncino na Walawi 16:8).

Kwa hiyo Mbuzi wa azazel ni yule ambaye hupelekwa na kuachwa ama kufungwa jangawanuia akiwa na dhambi za watu, hateketezwi ama sadaka ya upatanisho kama kondoo. hope umenipata.


Kristo alikuwa upande wa mkono wa kuume wa Mungu. Azazeli au Shetani alikuwa upande wa mkono wa kushoto.

Kwa hiyo, hakuna shaka yoyote kuwa Azazeli alijulikana na marabi na kwenye hekalu la pili katika dini ya Kiyahudi kama inavyoonekana kwa kupewa uweza kwa wazo la mataifa la Israeli kiumbe yule alijulikana kama ni mshitaki wa Israeli, Shetani. Ilijulikana kama Sammaeli katika nakala za maandiko ya marabi. Jina hili linaweza kuchukuliwa kwa maana ya Jina au Jina la Mungu, au Mungu amepewa jina. Kwa hiyo, angeweza kueleweka kuwa imetendwa kwa jina la Mungu au mamlaka kwa hatua moja. Kiumbe aliyepewa uweza kwenye juu ya Jeshi la malaika kwenye Kitabu cha Henoko ni Semyaza neno ambalo linaweza kuwa limechukuliwa kwenye maana ya asili yenye maana sawa na hii. Jina hili la S[h]emyaza(hzhYmv) maana yake ni Anaona jina au jina lililoonekana (tazama kwenye jarida la Knibb, p.67-68). Noth (Die Israelitischen Personnanamen im Rahmen der Gemeinsemitischen Namengebung, Stuttgart, 1928, p. 123f.; cf. Knibb p. 68) inahusianisha na jina Shem (mv)na jina la kimbinguni HaShem (svh) ambalo lilijulikana kutoka katika nakala za maandiko Maarufu. Jina hili, kama lilivyo HASHEM, (svh) linatumika kwenye maandiko ya kale ya kwenye mawe maarufu yalijulikana kama Chumash kwa ajili ya kutaja Yahova. Majina ya wote wawili, yaani Semyaza na Asaeli yanaonekana kuwa yamebadilishwa kwenye sura za awali za kitabu cha Henoko. Katika nakala za aya za Kiethipia za 1Henoko 8:3, jina Semyaza limebadilishwa kabisa kutoka maana yake halisi ya asili. Knibb anadhani kuwa nakala hizi za Kiethiopia zimepotoshwa (Knibb, p.71). neno Shemu maana yake ni jina moja. HaShem maana yake ni Jina maarufu. Linatamkwa shame. Wazo linatokana na mtazamo ulio dhahiri na nafasi iliyo ya wazi sana. Ni jina la kicheo linalotumika kutofautisha au kuweka alama ya mtu binafsi yake. Wazo ni kwamba, Shemyaza au yeye aliyeona jina alishindwa kutokana neema na kwa hiyo akataabika na mabadiliko ya kicheo yaliyotokana na mabadiliko ya jina. Kwa hiyo, ndivyo ilivyotokea pia kwa Asaeli. Azazeli ni badiliko kwenye cheo cha kiongozi au kiongozi wa Jeshi lililoasi na kuangushwa. Wazo hili la mabadiliko ya cheo hayajatathminiwa mahali popote kwa sababu inapingana na mawazo yaliyokualika kidini ya mfumo wa baadhi yao. Azazeli anaonekana pia kwenye Gombo lililogunduliwa kwenye Bahari ya Chumvi (kwa kifupi DSS) katika sehemu ijulikanayo kama 4Q180-181 ambapo panapelekea katika kifungu kingine cha 4Q180. Inaonekana kuwa ni nukuu za aya za kitabu cha 1Henoko sura za 6-11 na Yubile 4:22 (Mwa. 6:1-2,4). Aya hii (na hasa hasa mistari ya 5-9) inaonekana kuwa na uhusiano na hii 4Q181 sehemu ya 2, mistari ya 1-4 (kwa mujibu wa Wise, Abegg na Cook kwenye jarida lao la Gombo la Bahari ya Chumvi: Tafsiri Mpya, ya Hodder na Stoughton, 1996, pp. 238-239). Hakuna shaka yo yote kuamini kuwa Azazeli anaaminika kuwa ni kiongozi wa lile Jeshi la malaika waasi, kwa mujibu wa aya za kwenye lile gombo la DSS na anawajibika kwa dhambi zote zinazofanywa na wanadamu kama tunavyoweza kuona katika kanuni za Upatanisho.
 
Mbona waingerez wanatumia mbuzi jeshini toka zamani sana? Nyie kwa vile mmenunua visimu vya internet juzi juZi ndio maana mnashangaa
Watachoona cha ajabu kwa sababu hawasomi history, kila wanaona ni jambo jipya tu ingawa Mbuzi walitumika miaka 300 iliyopita
 
Back
Top Bottom