Afande kova abariki wizi wa magari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande kova abariki wizi wa magari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,662
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania si jambo la kushangaza =lakini linaitaji kustaajabisha
  hivi majuzi kuna vijana kadhaa wamekamatwa kutokana na wizi wa magari ya aina ya prado kutoka dar kwenda moshi

  wakiwa katika zoezi la kupeleka magari moshi kijana wa kwanaza alifanikiwa kufikisha kwa amani ,ndipo alipofata mwanafunzi wa IFM
  ambae nae kama mwenzake walifanikiwa kufikisha fari la pili

  wakati wakijiandaa na gari la tatu ambalo liliendeshwa na mwanafunzi wa chu kikuu mlimani ambao ni ndugu mmoja na yule wa chuo cha ifm akaanza nae safari kuondoka kwenda moshi ,,akiwa anajiaanda aijulikani ama wengine wanasema gari lile lilikuwa na uwezo wa kuonyesha mahali ilipo gari husika ,,ama walitonywa....

  ndipo walipo anza safari na mh wa prado ya tatu wakiongozana na magari kama 3 walipokaribia njiapanda segerea mmoja akawahi kulipita na kuingia kulia kama wanaelekea tanga,,mwingine akalitangalia na kuelekea njia ya kwendaq korogwe ,mwingine akabaki nyuma

  alipofika mh akaelekea njia ya kwenda moshi ndipo yule elieenda njia ya tanga akabadili muelekeo wakaungana na wenzake mpaka moshi..walipofika wakajipumzisha pale PAN AFRICAN

  na wah wakatulia nao kwa ustaarabu ..na kuanza kuwahoji baadhi ya watu mnawajua ,,mmoja akwaonyesha kwaao na kwazazi wao.

  wakawakamata wote na kwenda kwa wazazi wakawakamata wote...yule mzazi ana rafiki anaitwa summit auakamwomba amsadie kwa hili akamtoa kwa dhamana...ndipo walipofunga safari kwa mh KOVA hivi majuzi...mh kova gafula akashauri waletwe dar.


  walipofika wakaakaa siku tatu wakatolewa mdhamana na huku wakitanua hakuna wa wakuwafunga plisi wote wako mikononi mwao

  mmmmmm minakutakia heri kova na mbizo zako za unafiki
   
  Last edited by a moderator: Jan 5, 2009
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  MKuu naona maelezo yako yanaupungufu kidogo mimi binafsi sijakuelewa ngoja nisubili wenzangu watakao kung'amua, hayo magari yote yalikuwa PRADO?Huu uhalifu wamefanya wapi?Je mahakamani walipandishwa?
  Mtuhumiwa ana haki ya kupewa dhamana akiwa polisi.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  MKuu naona maelezo yako yanaupungufu kidogo mimi binafsi sijakuelewa ngoja nisubili wenzangu watakao kung'amua, hayo magari yote yalikuwa PRADO?Huu uhalifu wamefanya wapi?Je mahakamani walipandishwa?
  Mtuhumiwa ana haki ya kupewa dhamana akiwa polisi.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Imeshawahi kujitokeza mara nyingi kuwa mtu anaanzisha thread tata halafu haji kutoa ufafanuzi, nadhani kuna watu wanaona raha kufanya hivyo
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


  Ni hadithi ya watoto au vipi?! Maana hakuna mtiririko wowote hapa. Kindly re-write the whole story
   
 6. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Kama vile nimemuelewa ni kuwa, Kuna ka kundi ka majambazi wapora magari ambao sehemu ya timu yao ni wanafunzi wanaosoma Chuo IFM and UDSM. na Mradi wao ni wa Kupeleka Moshi Magari yaloibwa. ma prado mawili yalifika Moshi bila kustukiwa na polisi, ila la Tatu wakati limaanza safari Polisi wakatonywa kuwa hilo gari limeibwa. Jinsi gani Polisi walitonywa ndiohaijajulikana ni ama hilo Prado lilikuwa lina Car track system au kupitia wadaku. Sasa Polisi badala ya kuwakamata hao wahusika kabla ya kuondoka huko Dar, wao wakaamua kuchoma mafuta kusafiri kufualitia safari ya hao jamaa inaishia wapi. Ndo maana walipofika Segera timu moja ya polisi ikabana muelekeo wa Tanga na ya Pili Muelekeo wa Korogwe Moshi, wengine wakiwa nyuma yao. Segera pale jamaa wakachukua upande wa Korogwe Moshi, basi polisi walotega upande wa Tanga wakageuka kuendelea kufuatilia na hao wengine kuelekea Moshi. Safari ikaenda hadi Moshi. Jamaa wakafikia hapo kwenye hiyo hotel. Polisi nao wakafikia hapo wakachunguza wakajua hao jamaa pamoja na wazazi wao hivyo wakawadaka wote wakawaweka ndani. Mzee Summit akawatoka wa dhamana. Walipotoka wakaja Bongo kuonana na Kova. Mzee Kova akaagiza vijana warudishwe jijini. Walipofika jijini wa Mara haooo wanaonekana mtaani na kujivuna kuwa polisi haiwawezi...

  Kinachonishangaza hapo jinsi gani mtu afuatiliwe na Magari matatu all the way from Dar to Moshi na asijijue. kwanza ni uharibifu wa resources.

  Ila kama vile hii simulizi ina ukweli; maana hata mie ndugu yangu alinusurika kuporwa gari. alipostukia dereva wake ameingizwa mtengoni aliongea a Mh Mwema, akaambiwa hiyo gari bado haijaibwa na asihofu maana haitobwa tena.

  Hawa Polisi wetu wanaijua sana mitandao ya hawa waheshimiwa wezi magari ila wanapiga kimya kuwadhibiti hadi anaeibiwa akiwa mtu wa system ndo mali zake zinapona vinginezo hakuna kitu.
   
Loading...