Afande 'Dhaifu'

Huyu afande katia aibu sana leo.Naona hadi wakenya wanatucheka!
 
afande anaogopa mvua...lakini wakitumwa kuwachapa wapinzani huwa wapo mstari wa mbele
 
Huyu afande katia aibu sana leo.Naona hadi wakenya wanatucheka!

Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka
 
Jamani kumbukeni ile muswada umesha sainiwa na ni sheria tayari jamani daaa
Ila ila aibu kuu
 
Vaa viatu vya huyo afande then nambie hapo ungepitaje
Assume ndo unaenda ofisini?
Mnataka kusema afande akikanyaga maji hawezi kulowa?

Hayo mafunzo ya ukakamu hua wanajifunza ya kazi gani? Kupambana na raia tu?
Afande gani huyu anayeshindwa kuvuka maji hata goti halizami!
 
Una uhakika gani kama kalipa? Hivi unawajua hao au unawasikia tu?

Hangekataa kulipa angedondoshwa chini huyo kalipa kwani walipa kabla ya huduma hiyo. By the way wakenya hachana nao!
 
Hayo mafunzo ya ukakamu hua wanajifunza ya kazi gani? Kupambana na raia tu?
Afande gani huyu anayeshindwa kuvuka maji hata goti halizami!

Hata mafunzo ya ukakamavu hayawezi ku-cover kila life situation ndo maana askari wanazidiana madaraja, huo ukakamavu hapo angeruka hayo maji au ingekuaje? Nambie direct answer acha kuzunguka mkuu
 
Hata mafunzo ya ukakamavu hayawezi ku-cover kila life situation ndo maana askari wanazidiana madaraja, huo ukakamavu hapo angeruka hayo maji au ingekuaje? Nambie direct answer acha kuzunguka mkuu

Hebu niache bwana, kipi ambacho hujaelewa?
Au wewe ndio huyo afande nini?
 
Katia aibu tena mwanaume kubebwa mgongoni na mwenzake aibu kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…