Kwani hicho kidude chenye bendera si chaweza valiwa na yeyote tu? Hata asiye kuwa m-Kei?Siyo yeye mbona kama mkenya huyo
Ni kweli usemalo lakini ukiwa mzalendo si dhani kama unaweza fanya hivyo hasa kwa yeyeKwani hicho kidude chenye bendera si chaweza valiwa na yeyote tu? Hata asiye kuwa m-Kei?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwangalie vizuri tu sura na umbo lake utajua...Wanafanana kiasi,
Hivi umemfananisha na nani?