Afadhali ya panyaroad kuliko hawa

Sasa hiyo camera ndio ya nini sasa au wanaigiza yakhee? Duh bila ganzi?
 
Sasa hiyo camera ndio ya nini sasa au wanaigiza yakhee? Duh bila ganzi?

Teh teh teh hiyo ni ya kweli hauoni hilo pozi la jamaa kwenye picha ya kwanza, anasikilizia maumivu.
 
ni wanajeshi wamerudi na kiu.............
 
Ah mie nipo good sana namshkuru mola kwa kunijaalia pumzi ambazo silipii ata thumni


Vipi wewe na mama kijacho

Mola ni mwema sana kwangu ma kijacho tayari keshatua mzigo
 
Wow mabrouk alf mabrouk

Hee wewe mbaya sana mbona hukuniambia nkaja kumpikia mzazi uji na kubimba mtoto?

Niwie radhi bure farkhina I was offline since the beginning of this year ndo kwanza juzi nimerudi hewani
 
Last edited by a moderator:
Mtaa kwa mtaa circumcision, Wahaya wengi hawajatahiriwa.
cc Rugemalira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…