Afadhali kukaa kimya kuliko kuzungumza usichokijua

Leo mkuu wa bandari amesema kwenye copper concentrate dhahabu ni 97% ni kituko cha jinsi viongozi watanzania wanaongea wasichokijua
Huu utawala umeshafeli wamebaki kuendeshwa kwa matukio, kick na visasi na haya ndiyo matokeo yake pale wanapoacha kuendesha serekali kwa misingi ya kitaalumu wamebakia kutafuta kick na cheap popularity.
 
Leo mkuu wa bandari amesema kwenye copper concentrate dhahabu ni 97% ni kituko cha jinsi viongozi watanzania wanaongea wasichokijua
Nimeshangaa sana inamaana makontena yale yana dhahabu pure maajabu kweli
 
Leo mkuu wa bandari amesema kwenye copper concentrate dhahabu ni 97% ni kituko cha jinsi viongozi watanzania wanaongea wasichokijua
Hata mimi nimesikia na kushangazwa sana. Kwasababu alichilokisema ni sawa na kusema makontena yalikuwa na dhahabu. Je, hii yawezekanaje? Ngoja kamati ya Ndugai ije ifanye kazi yake labda tutapata majibu!
 
Mkuu haujamlisha maneno kweli huyu mtu? Eti asilimia ngapi za dhahabu? Lakini inawezekana kuna taahira anapendaga kusikia habari za hivyo!!
Leo mkuu wa bandari amesema kwenye copper concentrate dhahabu ni 97% ni kituko cha jinsi viongozi watanzania wanaongea wasichokijua
 
  • Thanks
Reactions: 999
Hata mimi nimesikia na kushangazwa sana. Kwasababu alichilokisema ni sawa na kusema makontena yalikuwa na dhahabu. Je, hii yawezekanaje? Ngoja kamati ya Ndugai ije ifanye kazi yake labda tutapata majibu!
Kwani hawawezi kuficha dhahabu mule wakasema ni mchanga peke yake??
 
Huyo Job Ndugai pia asituone Wajinga: bandari na Bunge wapi na wapi?

Yy angempiga Mkwara JPM kwann ana watisha wabunge wa CCM
 
Back
Top Bottom