Nawahakikishieni wana JF,
Jitahidini kuzishIka na kufundisha, kukampeni kanuni ila si sheria.
Leo kuna mashirika mengi ya haki za binadamu na sheria.
Lakini mashirika yanayohimiza kanuni ni machache,hii imeleta matokeo ya kuongezeka uovu na mauaji mengi sana.
Ona mfano wa kanuni hizi;
1.UPENDO
Mpende jirani yako, hapo zimezaliwa sheria kama, usimpige, usimuibie. usimsengenye, usitishie,nk
Hapo ndipo huja kitu kinaitwa hukumu
2.HESHIMU UHAI
Sheria ni usiue, usitoe mimba, usijidhuru, nk ndipo hukumu huja
3.TUNZA MAZINGIRA
Usichome moto, usichafue maji, usitupe taka ovyo mashirika ya dini yamejaribu kuhubiri kanuni, lakini wameonesha unafki, kwakuwa wametuma vijana wao vitani ambako silaha zinaharibu mazingira.
Tujaribu kuishi kwa kanuni katika familia zetu, tusiwe wazazi wa kuweka sheria kwa watoto badala ya kuanza kuzijenga kanuni akilini na mioyoni mwao.