UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,109
- 9,527
Cha kueleza si alikuwa anajikinga na uzinifu ndio maana akaamua afanye hivyo.Hana cha kueleza ila atajibu maswali atakayoulizwa
Cha kueleza si alikuwa anajikinga na uzinifu ndio maana akaamua afanye hivyo.Hana cha kueleza ila atajibu maswali atakayoulizwa
Sasa yeye amezini na mkono wakeCha kueleza si alikuwa anajikinga na uzinifu ndio maana akaamua afanye hivyo.
Kunadawa inaitwa muboroboro, ninadhan ndo hiyo alitumia
Unavunja ukiwa hai au ndio unatangaza kutaka kujiua tumpe tetesi yule RPC?Navunja record hii
[emoji2] [emoji2] [emoji2]sio mbaya, ajali kazini go easy comrade
Rais wa dunia wa CHAPUDUHuyu alikuwa member mwandamizi wa CHAPUDU