Aendesha Ibada Akiwa na Silaha

Kichuya

Member
Jul 9, 2016
55
30
Hali ya hatari huko Nigeria kutokana na Boko Haram imemlazimu aendeshe ibada hivi

akk.jpg
 
Duhh!!, kwa style hiyo sidhani kama kuna muumini hata mmoja atakaye baki kwenye benchi na kuacha kwenda kutoa sadaka.
 
Hiyo ni kawaida kwenye kambi za walinda amani UN peace keeping huwa kuna misikiti na makanisa na waongoza ibada huwa wao wenyewe
 
Wewe ndio upo kizani na unahitaji maombi ya kufunguliwa. Unafikiri kule bustanini kwanini Yesu alimkataza Simoni Petro kujihami au wafikiri hakuwa na uwezo huo?

kwahiyo akija Sharif akakuzabua kofi utamgeuzia shavu la pili akuzabue tena? ..sema kweli utaweza hivyo?
 
Wewe ndio upo kizani na unahitaji maombi ya kufunguliwa. Unafikiri kule bustanini kwanini Yesu alimkataza Simoni Petro kujihami au wafikiri hakuwa na uwezo huo?
Wazungu na viarabu walituweza kweli. Hivi hiyo bustani uliiona hiyo bustani?
 
Back
Top Bottom