Wana CDM naombeni maoni yenu,nataka kuanzisha suala ya kikatiba chini ya mfumo wa kidemokrasia- msiniulize ni demokrasia gani ila mtapata majibu very soon kupitia taratibu za kisheria
Hoja ya msingi ni kupata maoni kuhusu je Lissu aendelee au Mbowe arudi na Leo litakuwa swali la kipima joto ITV,naombeni mshiriki
Muhimu,uamuzi wangu naufanya baada ya kuona mgawanyiko ndani ya CDM,na kuibuka G-55 ambao wanadai katiba mpya haikuwa sera ya chairman akiomba kura,hivo Kuna hadaa alitumia kuwa corrupt voters kumbe hakuwa na malengo fikiriwa kwa wapiga kura
Hivo uchaguzi ulikuwa null n' void (my stand) kwa sababu sera hii haikuwa wazi na inachochea vurugu nchini hivo uchaguzi urudiwe
Ushiriki wenu muhimu