Mgogoro UPI mkuu??Tunamkaribisha sana mlimani aje aione na kuitumia yombo 4&5 huko kwingine asiende atakuwa na mgogoro wa nafsi kama walivyo watz wengi waliokosa nafasi ya kuja kujifunza na kusoma chuo cha taifa.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]Mgogoro wa kinafsia...wengi wanaokosa nafasi ya kuja chuo kikuu cha taifa hukumbwa na hili tatizo.
Bila kusahau theatre one and two[emoji13] [emoji13] [emoji13] karibu sana udsm upandane na rbTunamkaribisha sana mlimani aje aione na kuitumia yombo 4&5 huko kwingine asiende atakuwa na mgogoro wa nafsi kama walivyo watz wengi waliokosa nafasi ya kuja kujifunza na kusoma chuo cha taifa.
Naam! Pia asisahau kujizunguushia wigo wa maadili ili amalize salama.Bila kusahau theatre one and two[emoji13] [emoji13] [emoji13] karibu sana udsm upandane na rb
Sisi ndo tuliozibikiri Theater one na two,baada ya kunji la 2000.Da,Udsm acha kabisa,,,mdigreee,academic bridge,rev.square,manzese na havard,,,dah hatari sana.Bila kusahau theatre one and two[emoji13] [emoji13] [emoji13] karibu sana udsm upandane na rb
Usimdanganye mwenzio,huwezi kufikia self actualization bila kupita Mliman.UNAJIULIZA NN SASA CHUO NI SUA
AENDE UDSM KUFANYA NN BORA SUA WANAUZIKA SOKONI YANI NICHUO BORA NA WAKO MUCH BETTER SERIOUS MKUU
Chuo kikuu tz[emoji14] [emoji14]Usimdanganye mwenzio,huwezi kufikia self actualization bila kupita Mliman.
Aende SUA kule atajifunza in practically mana wana mashamba. UDSM tutamkaribisha Mlimani City kudraw boom lake afu ajione ashakula maisha. Kuna meeda soccer city sinza moriHabari za mchana waungwana,amechaguliwa course ya Bsc in Agricultural and natural resources economy and business ya UDSM na Agricultural economy and agribusiness ya SUA.anaweza kwenda chuo gani kutokana na ubora wa izo course na wigo mpana wa ajira baada ya kumaliza.ahsante.