mungu amlaze mahala pema peponi namkumbuka alikuwa diwani wa kwanza 1994 kushika kiti cha udiwani kata yaGANGILONGA kata ambayo IKULU ya mkuu wa mkoa ipo ndani yake kupitia chama cha NCCR mageuzi.alikuwa mwanamageuzi kweli hiyo kata mpaka sasa inaweza rudi upinzani kwani kuna uchaguzi mdogo tena baada ya diwani wa CCM kufariki mwaka jana.