Jay Lee Tz
New Member
- May 6, 2018
- 3
- 0
kasome mafunzo ya ufundi vetaHabar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf
Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya Nikafer Sikuweza Kuendelea Na Elimu Mpaka Mpaka Sasa Na Miaka 20 Kwa Upande Wangu Nahitaj Kuendelea Na Elimu Ya Watu Wazima Ila Baba Angu Kaniambia Anipe Tsh Ml2 Nianzishe Biashara Au Anipeleke Shule Nikaanze La Saba NAOMBENI USHAUR WENU WANA JF NAIMAN MTANIPA USHAUR UTAKAO NITOA GIZANI [emoji171][emoji171]View attachment 770023
Kasomee udereva wa mabasi na maloriHabar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf
Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya Nikafer Sikuweza Kuendelea Na Elimu Mpaka Mpaka Sasa Na Miaka 20 Kwa Upande Wangu Nahitaj Kuendelea Na Elimu Ya Watu Wazima Ila Baba Angu Kaniambia Anipe Tsh Ml2 Nianzishe Biashara Au Anipeleke Shule Nikaanze La Saba NAOMBENI USHAUR WENU WANA JF NAIMAN MTANIPA USHAUR UTAKAO NITOA GIZANI [emoji171][emoji171]View attachment 770023
Thanks A Lot Broh Anataka Anifungulie M-PESA Vipi Inafaa Au Niende Veta TuSiku hizi hakuna kuchakachua kirahisi,Baraza la mitihani (NECTA) hutunza rekodi za watahiniwa kuanzia darasa la pili,sasa wewe ukirudia darasa la saba itakuwaje,labda utumie jina la mtu na sina hakika kama utabaki salama maana NECTA wanakuwa na majina na picha za watahiniwa wote wa darasa la saba.
Kumbuka kutumia jina la mtu ni kosa la jinai na utakuja kupata shida kama DAB(Daudi Albert Bashite)
Nakushauri nenda kasomee gani yeyote unayopenda VETA,itakusaidia sana.
Hiyo milioni 2 unaweza lipa ada ya kozi na pindi umalizapo ukapata hata pesa ya kununua nyenzo/mashine halikadhalika pango la chumba/ofisi.
Kila la heri!!
NASHUKUR KWA USHAUR WAKO MUNGU AKUBALIKkasome mafunzo ya ufundi veta