omereyo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 308
- 90
Hahahaha,the way I appear to public.jamii inavyokuangalia inawezekana ikawa haipendezwi Na muonekano wako ndio maana magonjwa kama hili hutokeaMavazi yanafanyaje tena mkuu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,the way I appear to public.jamii inavyokuangalia inawezekana ikawa haipendezwi Na muonekano wako ndio maana magonjwa kama hili hutokeaMavazi yanafanyaje tena mkuu?!
Hahahaha,the way I appear to public.jamii inavyokuangalia inawezekana ikawa haipendezwi Na muonekano wako ndio maana magonjwa kama hili hutokea
Aha kumbe pole sana aisee ..umeshapona?Hahahaha,the way I appear to public.jamii inavyokuangalia inawezekana ikawa haipendezwi Na muonekano wako ndio maana magonjwa kama hili hutokea
Sijuimnh labda selfesteem itakuwa affected ila idont think hii pekee inatosha kusababisha ugonjwa huu mkuu
YapAha kumbe pole sana aisee ..umeshapona?
It's more than ten years nowAha kumbe pole sana aisee ..umeshapona?
Exactly..!! mara nyingi wagonjwa wa schzophrenia huwa mawazo ya ni tofauti kidogo ndio maana hushauriwa kutokaa peke yao wanaweza ku commit suicide namanisha kujinyonga hivo kuepuka hili kama psychatric nurse anapaswa kuwa very close na mgonjwa na moja ya tiba nyingne niPia Na kubadilisha life style.mfano kutokaa pekeangupekeangu Na aina ya mavazi nnayovaa
Exactly..!! mara nyingi wagonjwa wa schzophrenia huwa mawazo ya ni tofauti kidogo ndio maana hushauriwa kutokaa peke yao wanaweza ku commit suicide namanisha kujinyonga hivo kuepuka hili kama psychatric nurse anapaswa kuwa very close na mgonjwa na moja ya tiba nyingne ni
⇨Ni kutoa group activities kwa mgonjwa to improve insight and interpersonal relationship
⇨Kumpa antipsychotic drugs kama Haloperidol,Chlorpromazine na nyinginezo
⇨Tiba nyingne ni ECT(Electro convulsive Therapy)
wanapata nafuu tu hawaponi kabsa!!mkuu watu huwa wanapona kabisa????