advantages of schizophrenia????

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,938
31,886
...huu ni ugonjwa wa akili,,,,,,

....dalili ni ni kusikia sauti moja au mbalimbali,kuamini vitu ambavyo havipo etc

.....wanasema huu ugonjwa una advantages to it,

.....ingekuwa hauna advantages ungeshakwisha siku nyingi,by natural selection....

...........embu tudiscuss hili..............
 
No wonder dini zina exist.
 
Mm niliumwa huo ugonjwa nimejifunza mengi sitaki unirudie.EE mungu nisaidie.
 
Rebeca ungefunguka kidogo zaidi

Mkuu nilikua nazungumzia ugonjwa wa akili unaoitwa schizophrenia,

inaaminika asilimia moja,ya watu duniani kote wanaupata ugonjwa huu,

sasa kuna much debate,wengine wanasema ni nature inaplay part kupata ugonjwa huu,na wengine ni environment ndiyo inasababisha,na wengine both,

natural selection,mkuu utakuwa ushasikia only the fittest survives,

nilikua nauliza kama kuna advantage za ugonjwa huu na kwa nini umesurvive vizazi hata vizazi,kote ulimwenguni??

nilitaka kuuliza swali,but i dont know how to put it lol

weekend hio,lol
 
Unapenda sana lol...LOL
 
Back
Top Bottom