E enny mchuz Member Joined Feb 23, 2013 Posts 33 Reaction score 1 Feb 23, 2013 #1 Jaman ulifanya oral jumatano na alhamis kuna mtu kapigiwa simu ya training,kwa anajua tafadhali.
N nzoya Member Joined Dec 8, 2012 Posts 87 Reaction score 11 Feb 23, 2013 #2 watu washapigiwa kama ulifanya oral walisema 'tutawapigia simu kati ya ijumaa na jmosi kwa wale waliofanikiwa hivyo kama hujapigiwa jipange tu maumivu'never give up
watu washapigiwa kama ulifanya oral walisema 'tutawapigia simu kati ya ijumaa na jmosi kwa wale waliofanikiwa hivyo kama hujapigiwa jipange tu maumivu'never give up