Hi! kwa members wote wa Jf.
Straight to the point kuna hili swali naomba msaada
find CotB if CosA=1/4 and Cos(A-B)=8
Nadhani this is the wayjibu ni 12/31 sasa kulipata ndo shida.
maana angle A ina fit quadrant ya kwanza na ya nne
wahandisi mnaitwa huku..maana hizi ndio mambo zenu za kila siku
Jamaa anasema jibu ni 12/31 yani 0.3871Cot (B)== 3.96065568193
who?Jamaa anasema jibu ni 12/31 yani 0.3871
I'm on that good kush and alcohol
Unasoma Thread nusu nusu, alietoa swaliwho?
You're too smart!Tangu lini cosine ya angle ikawa greater than unity.
Yaani cos(A-B)=8 ???
Maajabu ya karne. Angalia vizuri hizo data zako.